.

BREAKING NEWZZ----HALI YA HATARI MTWARA NYUMBA ZACHOMWA MOTO SEHEMU YA KUZALISHA GESI YAPIGWA MOTO ,HALI SIO NZURI,SPIKA ASIMAMISHA BUNGE KWA LEO

HILI NI ENEO LILILOTENGWA NA SERIKALI KWA AJILI UA UZALISHAJI WA GESI HUKO MTWARA LIPO KARIBU NA BAHARI LIMECHOMWA MOTO MUDA HUU HUKO MTWARA
KWA HABARI NI KUWA VURUGU KUBWA HUKO MTWARA ZIMEZUKA NA HADI SASA NI ASKARI MMOJA AMEUAWA NA RAIA WATATU NAO WAMEUAWA KUTOKANA NA VURUGU HIZO,HALI NI HATARI SANA KWANI NYUMBA MOJA YA MWANDISHI WA HABARI IMECHOMWA MOTO NA BADO WANAENDELEA KUSAKA WENGINE,BADO JESHI LLA POLISI HALIJATOA TAMKO ILA HALI NI MBAYA NA WANANCHI HAO WANADAI GESI YAO
HUKO BUNGENI NAKO SPIKA AMEAHIRISHA BUNGE KUTOKANA NA VURUGU HIZO
TUTAENDELEA KUJUZANA KADIRI MUDA UTAKAPOKUWA UNAKWENDA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.