.

BREAKING NEWZ. UKWELI WA KULIPULIWA KWA KANISA HUKO KUNDUCHI HUU HAPA


          
BAADA YA KUENA KWA UVUMI MWINGI KUWA KANISA LA KKKT KUNDUCHI JIINI DAR ES SALAAM JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU LIMEKANUSHA TAARIFA HIZO NA KUWATOA WANANCHI WASIWASI

        AKIZUNGUMZA NA KITUO KIMOJA CHA TV MUDA HUU KAMANDA WA POLISI SULEMANI KOVA AMESMA KILICHOTOKEA NI JESHI LA POLISI LILIKUWA KATIKA OPERATION ZAKE ZA KILA SIKU ZA KUSAKA WAHALIFU KARIBU NA KANISA HILO NDIPO ILIPOWALAZIMU KUTUMIA MABOMU YA MACHOZI NDIPO UVUMI UKAENEA KUWA KANISA HILO LIMELIPULIWA

         TAARIFA HIZO ZAMECHOCHEWA ZAIDI BAADA YA WIKI ILIYOPITA KUTOKEA MLIPUKO HUKO ARUSHA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.