Thursday, May 16, 2013

KAMERA ZA CCTV KUTUMIKA KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALLAAM  SULEMAN KOVA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MICHEZO PAMOJA NA WAANDISHI KUHUSU MAANDALIZI YA KIULINJI KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA.
 
MAELEZO KIDOGO

Kwa mara ya pili katika historia ya soka la tanzania jeshi la polisi limetangaza rasmi kutumia kamera za cctv katika mechi ya watani wa jadi kati ya simba na yanga itakayochezwa katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam siku ya jumamosi wiki hii

kamanda wa polisi kanda maalum sulemani kova amesema wameamua kufanya hivyo ili kuzuia hali yoyote ya uhalifu ambayo inaweza kutokea siku hiyo

kamanda kova amewatoa wasiwasi watanzania na kuwataka kutokuogopa kujitokeza katika mechi hiyo kwa kuhofia usalama wao kwani wamejipamga kisawasawa,

mara ya kwanza kamera hizo zilitumika mwaka 2007.

No comments: