Tuesday, May 28, 2013

KILICHOMUUA NGWEAR HIKI HAPA

Mwani De Omar Nyangassa was tagged in Daktari Wamapenzi's photo. — with Malik DE Don and 2 others.
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.
Kwa mujibu wa mtu wao wa  karibu, Ngwair na  wenzie walitakiwa kurudi Tanzania leo  wakitokea  Afrika kusini... 
Walipowapitia,  waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya...
Mpaka sasa M to the P yupo hoi  katika  hospitali ya St. Hellen  huku  msanii Ngwair  akiwa  tayari  amekwishaaga  dunia.....

CHANZO:hapo juu kwenye lnk

No comments: