KIMENUKA----MACHINGA WAZUA VURUGU IRINGA ASUBUHI HII

MBUNGE MSIGWA ATINGA ENEO LA VURUGU ATOWEKA KIAINA

mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo
Mbunge Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu
Machinga wakisukuma gari ya mbunge Msigwa
Polisi wakimfuatilia mbunge Msigwa kwa nyuma baada ya kufika eneo hilo bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi wakianza kufukuza wananchi eneo hilo

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.