PROFESSA JAY AJIUNGA CHADEMA, CHEKI PICHA WAKATI AKIPOKEA KADI YA CHADEMA KUTOKA KWA SUGU

 Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kujiunga rasmi kwa Profesa kwenye chama hicho kunaashiria kuwa huenda akawa na nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2015
 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.