.

BREAKING NEWZZZ MBUNGE SUGU APATA AJALI
MBUNGE WA MBEYA  MJINI JOSEPH MBILINYI MAARUFU KAMA SUGU  AMENUSURIKA KIFO BAADA YA GARI YAKE KUPATA AJALI MAENEO YA HANANGI WAKATI AKIELEKEA ARUSHA KATIKA SHUGHULI ZA KUAGA MIILI YA MAREHEMU WALIFARIKI JUZI KWA KUPIGWA NA BOMU KATIKA MKUTANO WA ARUSHA

CHANZO CHETU KINASEMA GARI LA MH SUGU LIMEHARIBIKA VIBAYA ILA YEYE YUPO SALAMA KABISA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.