.

BREAKING NEWZZZZ./////BOMU LALIPUKA TENA ARUSHA MKUTANO WA CHADEMA.CHEKI PICHA

Takriban watu saba wamejeruhiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, kilicholipuka eneo la Soweto, jijini Arusha, ambako mkutano wa CHADEMA ulikuwa ukifanyika. Tukio hili limetokea muda mfupi tu baada ya mwenyekiti wa CHADEMA, kumaliza kuhutubia wananchi waliokuwa kwenye eneo hilo na inasemekana kuna watu wamepoteza maisha ila bado hatujapata uhakika ni wangapi


3Like · ·

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.