.

IVORY COAST YAWAKIMBIA WAANDISHI WA HABARI LEO

KOCHA MKUU WA TAIFA STARS KIM POULSEN PAMOJA NA JUMA KASEJA WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

katika hali ambayo sio ya kawaida waandishi wa habari leo wameshindwa kuwaona wachezaji wa timu ya taifa ya ivory coast baada ya kuingia mitini katika mkutano uliopangwa kufanyika kumbi za TFF LEO.

waandishi wa habari kama kawaida yatu tulifika mapema sana ili tusikie wenzetu wamejiandaa je na mchezo wa kesho lakini cha kushangaza ni kuwa hawakufika kabisa katika ukumbi huo

walipojaribu kupigiwa simu walidai kuwa wapo mbali sana na wachezaji pamoja na kocha wao wamelala hivyo hawataweza kufika hapo


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.