.

KHAAAA LEMA ACHARUKA SOMA ALICHOKISEMA BOMU LA ARUSHA

KISHINDO LEO: Rufaa ya Lema leo, Mawakili ndugu ukoo wa Lissu Uso kwa ...amesema,: Ni upuuzi na wendawazimu kwa Chama kinachotwala nchi kutoa maneno kama anayoyasema Nape eti mtu ajitupie bomu mwenyewe tena kwenye mkutano wenye watu wa kila aina ya kabila, dini na status mbalimbali. Tuna ushahidi wa video wa aliyelipua Bomu. Tunamjua, tunajua jina lake, tunajua kifaa alichotumia, na alikokificha, tuna ushahidi wa kutosha na ni ushahidi utakaoshangaza dunia.Ni swala la muda tu. Tunashangaa kwanini polisi hawajatuhoji sisi walengwa"Akihojiwa na Sauti Amerika"

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.