Friday, July 5, 2013

HIVI NDIVYO MIILI YA WATOTO WA MADELA ILIVYOKUWA IKIRUDISHWA SEHEMU AMBAPO YEYE ATAZIKWA.


Baadhi ya Ndugu wa Familiya ya Mzee Nelson Madela wakibeba mabaki ya mwili wa mtoto wake kuurudisha katika eneo lililoamliwa na Mahakama.

Msafari ukielekea Eneo la Qunu ambapo ndipo mabaki ya miili hiyo ya watoto wa Nelson madela yanazikwa upya kwa amli ya mahakama.

Mtoto wa NELSON MANDELA Makiziwe Mandela ( katikati) akielekea kwenye Gari baada ya Maziko ya Ndugu zake katika Eneo la Qunu.

Mandla Mandela mjukuu wa Rais wa zamani wa A frika Kusini pamoja na Mama yake Nolusapho Mandela wakiongea na waandishi wa habari baada ya mahamuzi ya mahakama kutolewa.

No comments: