Tuesday, July 9, 2013

MFAHAMU MWANADADA ALIYEKAMATWA NA MASOGANGE KWA MADAWA YA KULEVYA HUKO BONDENI

HUYU NDIYE MWANADADA ALIYEKAMATWA PAMOJA NA AGNESS MASOGANGE NA MADAWA YA KULEVYA HUKO AFRIICA YA KUSINI
INASEMEKANA KUWA HUYU NI MDOGO WAKE NA MASOGANGE JAPO KUWA BADO HAIJADHIBITISHWA KAMA NI KWELI NI HIVYO
WADADA HAO  WAMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYYA HUKO BONDENI NA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI LA NCHI HIYO
SIKU CHACHE KABLA YA KUKAMATWA KWAO MWANADADA MASOGANGE ALIWEKA PICHA HII KWENYE MITANDAO YA KIJAMII AKIJINADI KUWA ANAKULA BATA SANA HUKO AFRICA YA KUSINI

No comments: