Monday, July 8, 2013

SHIRIKA LA NDEGE LA INDIA KUANZA SAFARI ZAKE KUTOKA TANZANIA ILI KUWASAIDIA WAGONJWA

WAZIRI MEMBE AKIFUNGUA MKUTANO HUO JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUFUNGUA MKUTANO HUO
          WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MH BERNAD MEMBE AMESEMA KUWA SERIKALI YA TANZANIA NA INDIA ZIPO KATIKA MPANGO WA KUJADILI KURUDISHA SAFARI ZA NDEGE ZA SHIRIKA LA NDEGE LA INDIA KUTOKA TANZANIA HADI INDIA ILI KUSAIDIA WATANZANIA WANAOKWENDA INDIA HUSUSANI WAGONJWA AMBAO WENGI WANAENDA KUTIBIWA INDIA
       
               AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUFUNGUA MKUTANO WA SERIKALI ZOTE MBILI WENYE LENGO LA KUWAKUTANISHA KUJADILI USHIRIKIANO WA NCHI HIZO MH MEMBE AMESEMA KUWA KUMEKUWA NA IDADI KUBWA SANA YA WAGONJWA WANAOTOKA TANZANIA KWENDA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU JAMBO AMBALO INAHITAJIKA USAFIRI WA UHAKIKA

              KATIKA MKUTANO HUO AMBAO UNAHUDHURIWA PIA NA WAZIRIRI WA USHIRIKIANO WA INDIA UTAMALIZIKA KESHO AMBAPO WATAJADILI USHIRIKIANO KATIKA SECTA NYINGINE KAMA BIASHARA,UCHUMI,NK
WAZIRI WA USHIRIKIANO WA INDIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

No comments: