Monday, August 5, 2013

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABARAZA YA MITIHANI AFRICA,KUFANYIKA ARUSHA

NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA MITIJHANI TANZANIA DK CHARLES MSONDE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
            BARAZA LA MITIHANI TANZANIA NECTA LITAKUWA MWENYEJI KATIKA MKUTANO MKUBWA WA  31 WA SHIRIKISHO LA MABARAZA YA UPIMAJI NA TATHIMINI YA ELIMU AFRICA AEAA AMBAO UTAFANYIKA KATIKA HOTELI YA NGURUDOTO JIJINI ARUSHA KUANZIA TAREHE 12 HADI 16 YA MWEZI WA NANE

            AKITANGAZIA MKUTANI HUO NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA HILO DK CHARLES MSONDE AMESEMA KUWA HII ITAKUWA MARA YA TANO KWA MKUTANO HUO KUFANYIKA TANZANIA AMBAPO MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA 1983.

          MKUTANO HUO UNATARAJIWA KUFUNGULIWA NA MAKAMU WA PILI WA RAISI WA ZANZIBAR MH BALOZ SEIF ALI IDDI,AIDHA VIONGOZI WENGINE MBALIMBALI WA SERIKALI PAMIJA NA WA ELIMU WAMEKARIBISHWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO
BAADHI YA WANAHABARI WALIOHUDHURIA KATIKA MKUTANO HUO

No comments: