.

MASHINE ZA EFD ZA TRA ZAZUA BALAA KARIAKOO,WAFANYABIASHARA WAZIGOMEA WAFUNGA MADUKA SIKU NZIMA

BAADHI YA MADUKA AMBAYO HABARI24 IMEKUTA YAMEFUNGWA BAADA YA MGOMO HUO WA WAFANYA BIASHARA WA SOKO LA KARIAKOO LEO MAPEMA ASUBUHI

HAFUNGUI MTU HAPA


UMATIU WA WAFANYA BIASHARA WAKIWA WAMEKAA NJE YA MADUKA YAO
MMOJA KATI YA WAFANYA BIASHARA HAOA MABYE ALIKUWA AKIONGEA NA WANAHABARI LEO AMBAPO AMEWEMA KUWA MOJA KATI YA KERO  YAO KUBWA NI MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELECTRONIK AMBAPO AMEEMA KUWA WAO KAMA WAFANYA BIASHARA HAWAKO TAYARI KUZITUMIA KWA SASA


WAFANYA BIASHARA WALIPOAMUA KIVAMIA OFISI YA JUMUIYA YA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO

NJE YA OFISI ZAO PIA WAFANYA BIASHARA WENGINE WALIKUWA WAKITOA KILIO CHAO KWA WANAHABARI

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.