Tuesday, November 19, 2013

SPORTS NEWZZ,SIMBA KWACHAFUKA,RAGE ATIMULIWA SIMBA
Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo.

Kuhusiana na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji, endelea kutembelea mtandao huu. Taarifa zaidi zitakujia.

chanzo na shaffih dauda
Post a Comment