Friday, November 15, 2013

WAISLAMU WAANDAMANA JIJINI DAR LEO....WAPINGA MAUAJI YA MWENZAO..TAZAMA HAPA

Maandamano yalipofika Kigogo Mbuyuni.
PICHA ZAIDI HAPO CHINI-----




Waandamanaji wakiwa na picha ya mmoja wa viongozi wao.

Gari la matangazo.
Msafara wa kinamama.
Waumini wa dini ya kiislamu leo waliandamana kwenye kona mbalimbali za jijini la Dar es Salaam kulaani mauaji ya kionevu aliyofanyiwa mwenzo, Himam Hussein nchini Iraq.

                 

No comments: