.

YULE ASKARI FEKI ALIYEKUWA AKITESA DAR ES SALAM LEO AKAMATWA,HUYU HAPA

KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM  SULEMAN KOVA AKIMWONYESHA KWA WANANAHABARI MTUHUMIW MMOJA ALIYEKAMATWA LEO AKIJIFANYA NI ASKARI AMBAYE AMEJULIKANA KWA JINA LA SADIK MUYA MKAZI WA KIGOGO AMBAYE ALIKUWA NA WENZAKE WANNE WAKIFANYA UHALIFU WA KUWAPAKIA WATU KWENYE GARI NA KWENDA KUWAPORA

ASKARI FEKI SADIC MUYA AKIWA NA MWENZAKE AMBAO WALIKUWA WAKIHIRIKIANA KATIKA KUFANYA UHALIFU HUO JIJINI DAR ES SALAAM,HAWA PIAWANAHUSISHWA NA UHALIFU WA KUVAMIWA KWA MABENK JIJINI DAR ES SALAAM

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.