Saturday, August 31, 2013

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA BAHATI YA KWENDA KUSOMA CHINA .SOMA

      WIZARA YA NISHATI NA MADINI JANA ILITOA MAJINA YA WANAFUNZI NANE AMBAO WATAKWENDA CHINA KWA MASOMAO MALUU YA MASWALA YA NISHATI NA MADINI ILI BAADAE WAJE WALISAIDIE TAIFA

       HAWA NDIO WANAFUNZI WALIOBAHATIKA KUPATA NAFASI HIYO

 1-   TECLA MPONDA
2-   YAZID IDDI
3-   PAUL MSULANG
4-   GRACE MKONGWA
5-    MAGGI MTAKI
6  -   COSMAS JILAAB
7-    ANGELICA LUBANGO
8-    JANUARIUS MATATA

HIVI NDINYO CHEKA ALIVYOMZIMA MMAREKANI JANA

Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu. Katika pambano hilo Bondi Mtanzania Francis Cheka ameweza kumgalagaza kwa Pointi mpinzani wake na kutwaa ubingwa huo.
*******************
Na Mwandishi Wetu
HATA hivyo pambano hilo pamoja na yale ya utangulizi yaliingia dosari baada ya wachezaji kama Alfonce Mchumiatumbo, aliyekuwa akizichapa na Chupac Chipindi katika pambano lao la utangulizi la raundi sita, kugoma kupanda ulingoni kwa kile walichokuwa wakieleza mabondia hao kuwa wanahitaji kumaliziwa pesa zao za mkataba wa kucheza mechi hizo kabla ya kupanda ulingoni. 
Nao mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali, pia waligoma kupanda ulingoni wakishinikiza kumaliziwa pesa zao kwanza jambo ambalo lilifanya kuzua taflani ukumbini hapoa huku mapambano yakichelewa kuanza.
Ilipofika muda wa Cheka kupanda ulingoni pia alisikika mtangazaji akimuita muandaaji wa mapambano hayo ili kufika chumba alichokuwa Bondia mtanzania, Francis Cheka ili kumalizana naye mkwanja ili akubali kupanda ulingoni.
Alisikika Cheka akimuwakia muandaaji huyo kuwa, '' Nini Mmarekani hata angekuwa Mchina, nimalizie changu kwanza ili nipande ulingoni, ambalo pia lilichukua muda wa majadiliano hadi kuingiliwa kati na wadhamini na wadau wa ngumi waliotangaza kujikomiti kulipa pesa hizo wanazodai mabondia, ndipo mabondia hapo wakapanda ulingoni.

Aidha katika pambano la raundi 10 la mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali la kuwania Ubingwa wa WBF wa Afrika, Thomas Mashali ameweza kumshinda kwa pointi 2 tu mpinzani wake Mada Maugo na kutwaa Mkanda huo wa ubingwa wa WBF wa Afrika.
Na katika pambano la Utito wa Juu la utangulizi la Raundi sita kati ya Bondia Alfonce Mchumiatumbo na Chupac Chipindi, Mchumiatumbo amemchapa kwa KO mpinzani wake katika raundi ya tano, baada Chupac kunyoosha mikono juu kuashiria na wasaidizi wake kutupa taulo ulingoni kuashiria kushindwa kumalizia mchezo huo.  
 Waziri wa Habari, Fenella Mukangara (katikati) akipozi na mabondia Phill na Cheka, ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa pambano hilo la kimataifa.
 Waziri wa Habari, Fenella Mukangara (wa pili kushoto) akimvisha Mknda wa Ubingwa wa Dunia wa WBF Bondia Francis Cheka baada ya kumchapa kwa Pointi mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, katika pambano lao la raundi 12 lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu.
 Mashabiki wa Cheka wakifurahi na kumbeba baada ya kutangazwa mshindi.
 Bondia Mmarekani Phill Williams (kulia) akichapana na Francis Cheka wa Tanzania katika pambano lao lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
 Mabondia hao wakiliana Timing.......
 Cheka (kulia) na Phill wakichapana......
 Cheka (kulia) na Phill,wakiendelea kuchapana 
We subiri inakuja hiyooooo
 Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofurika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kumshuhudia Cheka akimchakza Mmarekani.
  Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliofurika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kumshuhudia Cheka akimchakza Mmarekani.
 Baadhi ya wageni waalikwa walioshuhudia mchezo huo.
Bondia Mada Maugo (kulia) akimwadhibu mpinzani wake, Thomas 
Mashari kwa konde zito wakati wa pambano lao la raundi 10 la kuwania ubingwa wa Dunia wa WBF, ambapo Mashali ameibuka mshindi kwa 
Pointi dhidi ya Maugo.
 Chanzo: Sufiani Mafoto Blog.

Thursday, August 29, 2013

HATIMAYE YAMETIMIA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA CHELSEA.

Mchezaji Samwel Eto'o amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu ya Chelsea na atakuepo uwanjani katika mechi kati ya Chelsea na  Bayen Munich katika mchezo wa Super cup Ijumaa.

MAJAMBAZI WAJICHUKULIA PESA BENK KIRAHISI DAR,MLINZI ALIKUWA HANA HATA KIRUNGU,KOVA AKASIRIKA ATANGAZA MILION 100 ATAKAYEWALETA,WENGINE WAMCHOMA DEREVA TAX KISU USIKU HADI KUFA


 

           Watu wanaosadikiwa n majambazi leo jijini dar es salaam wamevamia benk ya HABIBU AFRICAN BENK ILIYOPO KARIAKOO JIJNI DAR ES SALAAM  na kufanikiwa kupora zaidi ya bilion moja ya kitanzania huku waakiondoka kimya kimya bila tatizo lolote

Akidhibitisha kutokea kwa tukio hilo mbele ya waandishi wa habari jijini dar kamishna wa kamda maalum ya dar es salaam SULEMAN KOVA amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa tatu aubuhi ambapo majambazi hao waliingia kama wateja na kisha kuanza kuwaweka wafanyakazi wa benki hiyo chini ya ulinzi na kisha kupora fedha zote katika benk hiyo

Amesema kuwa baada ya polisi kufika katika eneo hilo wamegundua kuna mazingira ya uzembe wa uongozi wa benki hiyo ikiwemo mlinzi aliyekuwa akilinda alikuwa hana silaha yoyote hata rungu ya kujihami kitu ambacho amesema kuwa ni makosa makubwa sana,aidha amesema kuwa benki hiyo haikuwa na ulinzi wa uhakkika ikiwemo kamera za cctv ambazo amesema hazikuwepo.

Aidha amesema kuwa jeshi la polisi linamshikilia meneja wa benki hiyo  DANIEL MATEMBA pamoja na mlinzi  ENDRU PETER kutokana na kuonekana kuwa wamepanga njama za tukio hilo kutokana na wao kutokuhangaika kuwazuia wezi hao ambapo amesema kuwa jeshi linawahoji kujua kama wanahusika ama la.

Aidha katika tukio jingine usiku wa kuamkia leo poisi imekamata watu wanne kwa tuhuma za kumchoma dereva tax kisu kifuani hadi kufa maeneo ya OBAMA ROAD jjini dar es salaam

 KAMISHNA KOVA AMMETANGAZA HALI HATARI HUKU AKITOA MILLION 100 KWA YEYOTE ATAKEYELETA TAAIFA ZA WAHALIFU HAO

Wednesday, August 28, 2013

MALIZA JIONI KWA KUSOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO HAPA

.
.
JJHJH
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

POLISI DAR YACHARUKA,MAJAMBAZI 9 WAKAMATWA YUMO ASKARI POLISI,WENGINE WANATUMIA SARE ZA JESHI

PICHA NA MAKTABA
Jeshi la polisi kanda maalumu limefankiwa kukamata majambazi wanne akiwemo askari wa polisi wa kituo cha polisi kimara katika mkoa wa kipolisi kinondoni ambaye jina lake ni NO F 1205 PC MUHIDINI MHINA          Akizungumza na wanahabari leo jjini dar es salaam kamishna wa kanda hiyo SULEMAN KOVA amesema kuwa mnamo tarehe 26 ya mwezi huu wa nane majira ya saa tatu usiku huko maeneo ya club ya wazee amana ilala nyumbani kwa MOHAMED SAISI MOHAMED  ambaye ni msukuma mfanya biashara alisikia watu wakigonga hodi alipofungua akijua ni wageni ghafla mmoja akatoa bastola na kuanza kuwatisha kuwa watoe hela zote zilizopo nyumbani ambapo walifanikiwa kupora kiasi cha dolla 20,000 na kutoka nazo,

           Amesema kuwa wakati wakitoka alitokea mwananchi wa kawaida aliyekutana nao mlanhgoni ndipo alifanikiwa kumzuia mmoja na nipo wnanchi walipofika na kutaka kumpiga,ghafla alijitokea askari mohidin ambaye alikuwa likio na kudai wamwachie aondoke naye kani yeye ni askari lakini wananchi wale walipinga kitendo kile na ndipo walipowaita askari wa ukweli na kuwakamata wote wawili.
wengine waliokamatwa ni FARUK OMARI,OMGBA KHERI,PAMOJA NA GHALIBU IBRAHIMU

              Aidha katika tukio lingine jeshi la polisi limeakamata majambazi watano huko temeke ambao wlikuwa wanatumia sare za jeshi la wananchi tanzania pamja na za jeshi la polisi na vifaa kama pingi,na silaha katika kufanya uhalifu wao

          Aidha kova ameomba kwa wananchi kutoa ushirikiano katika kuwafichua wahalifu kama hao katika mitaa huko akitamba kuwa sasa wameanza kazi ya kuwafuta majambazi ama hao jijini dar es salaam


WAHAMIAJI HARAMU WAANZA KUIKIMBIA TANZANIA

Jumla ya wahamiaji haramu 21192 kutoka mikoa ya kagera rukwa,na kigoma wamerejea katika nchi zao baada ya agizo la raisi jk kuwataka kurfanya hivyo          Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam msemaji wa idara ya uhamiaji ABASI MUSA ILOVIA amesema kuwa wahamiaji hao walikuwa wanatoka katika nchi za BURUNDI,DRC,ZAMBIA,PAMOJA NA RWANDA,AMBAO AMESEMA KUWA WAMEONDOKA KWA HIARI
            
               Aidha amesema kuwa bado zoezi hilo la kuaondoa wahamiaji haramu nchini linaendelea na kuwataka ambao bado hawataki kutii agizo hilo kufanya hivyo mara moja kabla zoezi la kuwaondoa kwa nguvu halijaanza

Monday, August 26, 2013

KUELEKEA MCHEZO WA CHELSEA NA MAN U SOMA TAMBO ZA MAKOCHA


              KOCHA Jose Mourinho amemmuambia David Moyes: Sikumvurugia Wayne Rooney, umefanya wewe.
Mourinho anapeleka timu yake kuvaana na Manchester United leo na anataka kumvurua Moyes kuelekea mchezo huo wa kwanza wa ushindani kwake tangu arithi mikoba ya Sir Alex Ferguson.
Chelsea jana imethibitisha kumsaini Willian, na Samuel Eto’o yupo kwenye orodha pia kutoka Anzhi Makhachkala, lakini wameendelea komalia pia na saini ya Rooney na wanajiandaa kurejea na ofa iliyoboreshwa ya Pauni Milioni 30.
Blame game: Jose Mourinho claims David Moyes unsettled Wayne Rooney (right)
          Mchezo wa lawama: Jose Mourinho amemsukumia lawama David Moyes kumvuruga Wayne Rooney (kulia)
Man in the middle: Mourinho would love to prise Rooney away from Manchester United
           Mtu wa kati: Mourinho angependa kumnunua Rooney kutoka Manchester United
Second choice: Moyes told Wayne Rooney he was behind Robin van Persie in the pecking order
  Chaguo la pili: Moyes amemuambia Wayne Rooney ni chaguo la pili baada ya Robin van Persie 

           Moyes ameendelea kusistiza Rooney hauzwi na anaweza kucheza usiku wa leo, ingawa Mourinho anaamini bado anaweza kumnasa Rooney.
"Kwa nini?" alisema Mourinho, wakati alipoulizwa kama anatarajia mapoekzi mazuri kutoka kwa mashabiki wa United. "Wako dhidi yangu? Lakini sikusema utakuwa chaguo la pili kwangu.
"Tunajaribu kupata mchezaji mzuri ambaye Kocha atakuwa chaguo la pili kwake. Hatumfuati Van Persie. Hawatakiwi kuwa dhidi yangu. Ikiwa nilisema Ramires ni chaguo la pili kwangu na anacheza wakati Lampard amechoka, au majeruhi na ikiwa atatokea mtu kumchukua Ramires, hakuna atakayeshangaa,". Alipoulizwa kama lilikuwa kosa la Moyes, Mourinho alisema: "Ndio.’
Ilikuwa katikati ya Julai wakati Moyes aliposema: "Kwa ujumla fikra zangu juu ya Wayne ni, ni kwa sababu yeyote Robin van Persie ni majeruhi, tutamuhitaji,"alisema.
Hii ni kauli ambayo iliikera kambi ya Rooney, ambayo ilisema mchezaji huyo amekasirika na amechananyikiwa.
Incoming: Talks have started over a deal for Samuel Eto'o who is Mourinho's Plan B option
Anakuja: Mazungumzo yameanza juu ya Samuel Eto'o ambaye ni mpango B wa Mourinho

KAMA HUKUSOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU HUJACHELEWA,SOMA HAPA