Monday, September 30, 2013

kwa ufupi.BASI LA 5 ALLIANCE LAPATA AJALI MBAYA,MMOJA AFA

AJALI iliyotokea eneo ya Nyamwage mkoa wa LIndi wakati bali basi la abiria la   lililokuwa liktokea Dar Es Salaam kuel
ekea Lindi limepinduka na kusababisha kifo cha mtu mmoja

POLISI DAR YAZINDUA ULINZI SHIRIKISHI NGAZI YA FAMILIA,KOVA AZUNGUMZA,MATEJA ZAIDI YA MIA WA KARIAKOO SASA NI ULINZI SHIRIKISHI


KAMISHNA KOVA AKIKAGUA GWARIDE LA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI
 jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam kwa kushirikiana na polisi ilala leo limezindua rasmi kampeni yake ya ulinzi shirikishi ngazi ya familia ambapo lengo la kampeni hiyo ni kuhakikisha kuwa hakuna uhaslifu wowote utakaokuwa unafanyika ndani ya familia ikiwemo ukatili mbalimbali.
         
              Akizungumza katika uzinduzi huo kamishna KOVA amesema kuwa mikoa mingine lazima iige kampeni hiyo ili kuhakikisha hakuna ukatiki ndani ya familia.
BAADI YA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI

KAMANDA WA POLISI WA ILALA MAMA MARIETHA MINANGI AKIMKARIBISHA MGENI RASMI

BURUDANI NAYO ILIKUWA MAHALI PAKE

HUYU NI MOJA KATI YA VIJANA ZAIDI YA MIA MOJA WALIOKUWA MATEJA SASA  WAMEANZA KUWA ULINZI SHIRIKISHI HAPA AKISALIMIANA NA MEZA KUU
           KATIKA NUZINDIZI HUO IMESHUHUDIWA PIA ZAIDI YA MTEJA 100 WAKIJIUNGA NA SWALA HILO NA KUAHIDI KUACHA KABISA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA NA BADALA YAKE WAANZE KULIJENGA TAIFA KWA KUJIUNGA NA ULINZI SHIRIKISHI

KOVA AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH RGIMBANA NA WENGINE NI WADAU WA POLISI AMBAO LEO NAO WAMECHANGIA PIKIPIKI 12 KWA AJILI YA ASKARI KUFANYIA KAZI ZAO

AKIWAKABIDHI VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI KUTOKA TARAFA YA KARIAKOO VIFAA AINA YA RUNGU KWA AJILI YA ULINZI WA MALI A WANANCHI

KAMISHNA KOVA AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI HUO ULIOFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM AMBAPO AMESEMA SASA JESHI LA POLIOSI LIMEJIPANGA KUHAKIKISHA KUWA LINATOKOMEZA UHALIFU KATIKA NGAZI ZOTE HASA KATIKA FAMILIA KWA KUTUMIA ULINZI SHIRIKISHI NA POLISI JAMII

Friday, September 27, 2013

BAADA YA UGAIDI HUU NDO MUONEKANO WA WESTGATE MALL KWA SASA

MWONEKANO WA NJE

MDAHALO KUHUSU BUNGE WAFANYIKA DAR JIONI HII,TUNDU LISU AFUNGUKA

MNADHIMU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI TUNDU LISU AKITOA HOJA KATIKA MDAHALO HUO WA WAZI ULIOMALIZIKA MUDA MFUPI ULIOPITA JIJINI DAR ES SALAAM
           JIONI HII KUMEMALIZIKA MDAHALO WA WAZI ULIOKUWA UNA LENGO LA KUWASIKILIZA WANANCHI NA MAONI YAO JUU YA WANAVYOLIONA BUNGE LA TANZANIA NA JINSI WANAVYOTAKA BUNGE LIJALO JUU YA KATIBA MPYA LIWE.
WANANCHI WALIOHUDHURIA MDAHALO HUO
          AKITOA MADA KATIKA MDAHALO HUO MH TUNDU LISU AMESEMA KUWA LAZIMA BUNGE LIPUNGUZE WATU NA VITI MAALUM  VIONDOLEWE KABISA ILI HAKI IWE INATENDEKA KATIKA BUNGE LA TANZANIA.
BAADHI YA WANANCHI NAO WALIPATA NAFASI YA KUCHANGIA HUKU WENGI WAKIONYESHA KUUNGA MKONO HOJA ZA KAMBI ZA UPINZANI ZA KUTAKA MAANDAMANO YA KUMTYAKA RAISI ASISAINI MSWADA WA MABADILIKO YA KATIBA

HUYU NI ESTER WASIRA AKICHANGIA