Sunday, January 19, 2014

BREAKING NEWZZ,HILI NDILO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA



               Sefue anaanza kwa kutoa pole kwa waandishi wa habari kutokana na kifo cha mwandishi yule wa BBC...
Pia salamu za rambirambi kwa BBC na Ghana...
Anaelezea pia Serikali inaendelea vizuri na maandalizi ya Bunge Maalum la Katiba (Anasema hili sio suala liliwaleta waandishi hapo).. - Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais

- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu

- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili

- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima

- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria

- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi

- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe

- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe

- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama

- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto

- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya

- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)

- Naibu Kilimo - Zambi

- Habari - Naibu ni Juma Nkamia

- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa

- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene

No comments: