Monday, January 6, 2014

PICHA MBILI ZA BASI LA ALLYS LILIVYOACHA BARABARA MLIMA SEKENKE

1488031_682554915130689_597780064_n
  Basi la Allys toka arusha kwenda Mwanza limeacha njia na kuingia kwenye mteremko wa mlima Sekenge. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo break zilifelI. Watu wote wametoka salama.

No comments: