Friday, January 10, 2014

TIGO YAZINDUA DUKA JIPYA MBAGALA RANGI TATU,YAFIKIA 13 DAR ES SALAAM

UMATI WA WAKAZI WA MBAGALA NA VIIUNGA VYAKE WALIOJITOKEZA KWA WINGI KATIKA UZINDUZI HUO
    Kampuni ya tigo leo imezindua dukalake la 13 katika mkoa wa dar es salaam ambapo duka hilolinapatikana katika eneo la mbagala rangi tatu pembeni mwa sheli ya big bon,

   Akizungumzana wakati wa uzinduzi huo meneja wa uendeshaji wa huduma kwa wateja tigo bw ELIUD RUGEMALIRA amesema kuwa tawi hilo jipya ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo wa kufikisha huduma zake karibu zaidi na wateja wake.

      Amesema kuwa duka hilo linatoa huduma nyingi maalumu kama uuzaji wa bidhaa mbalimbali,kama simu za kisasa,laini za tigo na vifaa vingine vingi,pamoja na huduma nyingine kama kuunganishwa katika internent,usajili wa lain,tigo pesa,nahuduma maalum za simu  za kisasa

BURUDANI MTINDO MMOJA HAPANI WASANII WAKIFANYA VITU VYAO

MENEJA UENDESHAJI WA HUDUMA KWA WATEJA TIGO BW ELIUD RUGEMALIRA AKIKATA UTEPE KUFUNMGUA DUKA HILO


HUDUMA ZIMEANZA MAPEMA BAADA YA KUFUNGULIWA

WANANCHI WAKIWA WAMEPANGA FOLENI KUPATA HUDUMA NZURI ZA TIGO BAADA TU YA DUKAHILO KUFUNGULIWA

No comments: