na KAROL VICENT
SIKU moja kupita Baada ya Rais Jakaya
kikwete kuwapisha Baraza jipya la mawaziri,Naibu waziri mpya wa Habari na
michezo Juma Nkamia ameonja Joto la Jiwe baada ya kususiwa na Waandishi wa
habari wa vyombo vya watu Binafsi pamoja mashirika ya dini.
Taarifa ambazo Mwandishi wa mtandao huu
amezipata kutoka ndani ya Wizara ya hiyo ya Habari zinasema tukio hilo
lilitokea wakati, Naibu huyo alipokuwa anakabidhiwa ofisi za Wizara hiyo ili
kuanza kazi,
Chanzo hicho kinasema, Chombo kimoja cha habari tu ndio kiliwepoa
ambacho chombo kinatoka shirika la Utangazaji nchini TBC one,
Uchanguzi uliofanywa na Mwandishi wa
mtandao huu unasema kitendo cha waandishi kususia mkutano huo ni kutokana
na mazimo yaliyotolewa na Wamiliki wa Vyombo vya habari Nchini (MOAT) Kutoandika
habari zozote zinazomuhusu Waziri wa habari Dkt. Fenella Mukangara pamoja
na
Mkurugenzi wa Idara ya Habari maelezo kutokana na kufungiwa magazeti ya
mtanzani pamoja Gazeti la Mwanachi,huwenda ikawasababu.
Vilevile Sababu nyingine iliyotajwa ni
wakati mbunge huyo wa Kondoa kusini Wakati anachangia Bajeti ya Wizara ya
Habari na Michezo kwa Mwaka 2013-2014 aliwaonyesha Dharau kwa Baraza la Habari
nchini (MCT) kwa kusema Chombo hicho ni “ngios”na wala hakiko kwa ajiri ya
kumsimamia waandishi wa habari nchini huwenda ikawa sababu,
No comments:
Post a Comment