Wednesday, February 12, 2014

HOMA YA KATIBA MPYA YAPANDA--MAKAMU WA RAISI,PINDA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA DAR ES SALAAM LEO KWA MARIDHIANO

1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
12Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki Kongamano hilo baada ya ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR11 Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo10Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.9Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kongamano hilo.
76Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.5Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Bw. Ibrahim Lipumba akiwa katika kongamano hilo313Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
.HABARI KWA HISANI YA FULLSHANGWE BLOG

No comments: