Friday, July 11, 2014

LOWASA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA MONDULI

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa mhandisi msaidizi Paul Kisesa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa.

No comments: