.

PICHA 12 ZA STEVE NYERERE ALIPOWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WASANII WA FILAMU NA WADAU


Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau  mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam.
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere.


Kila mmoja aliona ni wakati mwafaka kuongea na mwenzake aliyepotezana nae miaka kadhaa
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.