Saturday, July 19, 2014

RAIS DKT. KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA PERAMIHO-MBINGA NA KUZINDUA STENDI YA MABASI

ufungziRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana Servasius Likwelile, mwenyekiti  wa mfuko  MCC Tanzania Bwana Bernard Mchomvu.
standRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa jiwe la Msingi kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma leo.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.

No comments: