Wednesday, August 20, 2014

AZAM FC OUT-- KAGAME CUP

Waliokuwa wawakilishi pekee katika michuano ya kagame cup inayoendelea nchini Rwanda timu ya Azam FC kutoka Tanzania wametupwa nje ya michuano hiyo jioni hii na timu ya Elmerek kutoka sudani kwa changamoto ya mikwaju ya Penant.
Katika mchezo huo dakika 90 za mchezo huo zimemalizika kwa timu hizo kutofungana ndipo wakaamuru mikwaju ya penant ambayo timu ta Azam imepoteza mikwaju miwili na Elmerek kupoteza mkwaju mmoja hivyo kutupwa nje ya michuano hiyo katika hatua ya robo fainali.

No comments: