Monday, August 11, 2014

TIGO ILIVYOIBUKA KIDEDEA SIKU YA NANE NANE MKOANI LINDI--PICHA

Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.
 Furaha iliyoje kutoka kwa wafanyakazi wa Tigo
 Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.

Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya katika nyuso ya furaha pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.SAMAHANI KWA PICHA ZENYE UBORA USIORIDHISHA

No comments: