.

HILI NDILO TUKIO LILILOTOKEA HAPA KATIKA UCHAGUZI WA CHADEMA NA KUSHANGAZA WENGI MUDA HUU

Diwani wa kata ya mtunduru ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa wilaya ya ikungi bw ALLY NKHANGAA  akiwa anakabidhi kadi ya CCM na kukabidhiwa ya CHADEMA leo na mwenyekiti wa FREMAN MBOWE
 Uchaguzi ndani ya chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA umeingia katika siku nyingine baada ya jana viongozi wakuu wa chama hicho kupatikana na leo ni awamu ingine ambapo baraza kuu la chama hicho litafanya uchaguzi wa makatibu wa chama hicho,ambapo katibu mkuu wa chama hicho pamoja na manaibu wake watapatikana hii leo ndani ya uchaguzi huo ambao unaendelea hapa jijini Dar es salaam ndani ya ukumbi wa mliman city.

Katika tukio ambalo limetokea hivi punde hapa ndani ya uchaguzi huu ni tukio la diwani wa kata ya MTUNDURU wilaya ya IKUNGI singida  kwa tiketi ya CCM  ,ambaye pia ni  makamu mwenyekiti wa wilaya ya IKUNGI CCM ALLY NKHANGAA ameingia ndani ya uchaguzi huo na kutangaza kukihama chama chake na kujiunga na CHADEMA ambapo pamoja na sababu alizozitaja sababu kubwa ni kutoridhika na msimamo wa chama chake juu ya mchakato wa katiba mpya.

   CHINI NI PICHA KADHAA BAADA YA KUHAMIA CHADEMAAbout HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.