MATOKEO--DANNY WELBECK AANZA VITU VYAKE ARSENAL


ARSENAL imeng’ara katika Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa ugenini wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park jioni ya leo.
Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo Mesuti Ozil dakika ya 32 pasi ya Danny Welbeck, aloyefunga mwenyewe bao la pili dakika ya 34 pasi ya Ozil, wakati bao la tatu Cissokho alijifunga dakika ya 36.
Kikosi cha Aston Villa kilikuwa: Guzan, Hutton, Senderos, Clark, Cissokho, Cleverley, Sanchez/Bacuna dk86, Delph, Weimann/Grealish dk46, Agbonlahor na Richardson/N’Zogbia dk77.
Arsenal: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Ramsey/Wilshere dk78, Oxlade-Chamberlain/Rosicky dk78, Ozil, Cazorla na Welbeck/Podolski dk78.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.