Friday, September 5, 2014

MUNGU TUEPUSHE--kumradhi kwa picha zinazotisha--PICHA ZA AJALI HUKO MUSOMA ZIKO HAPA


Zaidi ya Watu 38 hadi sasa wamefariki dunia papo hapo na wengine
kadhaa kujeruhiwa baada ya Mabasi waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Kiabakari-Musoma Mkoani Mara.

Ajali hiyo imetoa hii leo kwa kuyahusisha Mabasi ya Musoma Express pamoja na J4 Express. Tunaendelea kufuatilia tukio hili kwa ajili ya kupata habari zaidi na tutakujuza kadri tutakavyozipata.
Wananchi wakiwa katika hali ya Simanzi baada ya ajali hiyo.

No comments: