SAMAHANI KWA BAADHI YA PICHA---AJALI TENA,WATU WENGI WAHOFIWA KUFA

Basi aina ya air bus lilokuwa linatoka Dar es salaam kuelekea tabora limepata ajali mapema leo katika maeneo ya kiegera GAIRO,Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema bado haijajulikana idadi kamili ya waliofariki ila inasemekana kuwa ni wengi sana.habari zaidi zitakujia hapa hapa,samahanai picha nyingine hatutaweza kuzionyesha hapa kwani ni mbaya sana.
Wananchi wakishughudia ajali hiyo
Baadhi ya maiti ambazo tayari zim eshokolewa katika ajali hiyo
Ajali imetokea baada ya siku chache kupita kutokea ajali ingine huko mkoani mara na kuua zaidi ya watanzania 30

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.