Saturday, December 13, 2014

HICHI NDICHO WALICHOKIFANYA WAGOMBEA WA SERIKALI ZA MITAA CCM UBUNGO JIONI HII

Kampeni za uchaguzi waserilai za mitaa nchini Tanzania zimemalizika kote ambapo katika jimbo la ubungo katika mtaa wa UBUNGO NHC kampeni zimalika kwa wagombea wake kujinadi kwa kasi wakiwashawishi wananchi kuichagua ccm kwa moyo mmoja kwani bado ni chama imara na chenye lengo la kuwasaidia watanzania.pichani ni mgombea wa Uenyekititi wa mtaa wa ubungo AMANI HASSANI SIZYA akijinadi kwa staili ya aina yake ambapo aliamua kuwapigia magoti wa piga kura ili wamchague kuongoza mtaa huo wa UBUNGO NHC
Mashabiki wa CCM wakiwapasaportwagombeawao
HAWA NDIO WAGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI NDANI YA MTAA WA UBUNGO NHC KAZI KWAKO MPIGA KURA KESHO



No comments: