Monday, December 15, 2014

HII NDIO KAULI NZITO YA ZITTO KABWE BAADA YA UCHAGUZI JANA



zitto  kabwe

Kauli  ya  zitto  kabwe  kupitia  ukurasa  wake  wa  facebook

Matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika leo tarehe 14 Disemba, 2014 yanaashiria jambo moja kubwa; Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko ya kisiasa. Nawapongeza Watanzania wote waliojitokeza kuchagua Viongozi wao leo. Nawapongeza zaidi wote waliochagua wagombea kutoka vyama vya upinzani

No comments: