Monday, December 15, 2014

MGOMBEA WA CHADEMA ATUMBUKIA SHIMONI NA KUFARIKI BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI

Katika Kituo cha Msalala Road,Geita Picha hii inaonyesha shimo alilotumbukia marehemu Bethar Nchimani Ngosha. Alikuwa mgombea ujumbe Chadema baada yakutangaziwa kuwa ameshinda akawa anaelekea uani karibu na choo kulikuwa na shimo la choo ndipo alipodumbukia na mauti kumpata.ndani ya shimo pia palikuwemo na maji. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Amen.TAARIFA HII NI KWA MUJIBU WA LHRC

No comments: