Saturday, December 13, 2014

PICHA TANO KALI TOKA MAHAFALI TA TSJ LEO,WADAU KIBAO WALAMBA NONDO

Chuo cha uandishi wa habari TIMES SCHOOL OF JOURNALISM TSJ leo kimefanya mahafali yake mengine ambapo wahitimu kadhaa wamehitimu,kwa heshima ya chuo hicho nimekuwekea picha kadhaa kutoka katika mahafali  hayo.picha ya kwanza ni baadhi ya wahitimu wakiwa na mgeni rasmi pamoja na wakuu wa chuo hicho kinachopatikana ilala Dar es salaam
Wadau  mbalimbali wa HABARI24 BLOG walinaswa wakiwa nao wanalamba nondo zao katika mahafali hayo
Mwandishi wa habari wa blog ya HIVI SASA BLOG BERNAD KALONGA naye ni mmoja ya wahitimu wa tsj leo

No comments: