Friday, December 12, 2014

TIGO YADHAMINI SHINDANO LA KUBUNI TOVUTI KWA WANAFUNZI WASICHANA JIJINI DAR ES SALAAM

unnamedMeneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
unnamed1Wanafunzi wasichana wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shindano la ubunifu la tovuti lililoandaliwa kupitia mradi wa ‘Apps & Girl’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
unnamed2Wanafunzi wasichana wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shindano la ubunifu la tovuti lililoandaliwa kupitia mradi wa ‘Apps & Girl’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.unnamed3Wanafunzi wasichana wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shindano la ubunifu la tovuti lililoandaliwa kupitia mradi wa ‘Apps & Girl’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.unnamed4Wanafunzi wasichana wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shindano la ubunifu la tovuti lililoandaliwa kupitia mradi wa ‘Apps & Girl’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.unnamed5Mwanzilishi wa Apps & Girls Bi. Carolyne Ekyamsiima akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana. Mradi huu upo chini ya Tigo Reach For ChangeunnamedMwalimu wa Chuo cha Utalii cha Taifa Dar es Salaam, Bi. Pepertua Nshika, akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana ulioandaliwa na mradi wa ‘Apps and Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change

No comments: