Tuesday, January 6, 2015

PAMOJA NA MANENO YOTE WAZIRI MUHONGO YUPO ZIARANI KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

unnamed1d
Waziri wa Nishati na Madini  Profesa Sospeter Muhongo  anafanya ziara katika mikoa ya Shinyanga, Tabora na Simiyu lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme  vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati  Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la  Umeme Nchini (Tanesco)

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokelewa na baadhi ya watendaji kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Kanda ya Ziwa na Nishati na Madini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Profesa Muhongo anafanya ziara katika mikoa ya Simiyu, Tabora na Shinyanga lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Taneesco.
unnamed2dWaziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega kabla ya kuanza ziara katika wilaya hiyo ili kujionea utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini pamoja na kuzungumza na wananchi

No comments: