Monday, February 16, 2015

Kampuni ya Tigo Yatoa Msaada Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha


ti2Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya Wapendanao mwishoni mwa wiki Mkoani Arusha.
ti3Wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Kaskazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na vifaa mbalimbali walivyotoa kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ikiwa ni sehemu ya mchango wao kwa wagonjwa siku ya Wapendanao(Valentine Day). ti5 
Mkuu wa Huduma Kwa Wateja wa Tigo Mkoani Arusha Bi. Lidya Sakaya akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi. Felister Paul ikiwa ni sehemu ya msaada uliyotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.

No comments: