Friday, February 6, 2015

MIMI SINA UKIMWI,MREMA AMLIPUKIA MBATIA BUNGENI


Mbunge wa Vunjo Augustine Mrema (TLP)ametoa shutuma zake bungeni Dodoma akimtuhumu James Mbati kuwa amekua akimtangazia mambo mabaya kwa apiga kura wa jmbo lake kuwa ana UKIMWI


Mrema amesema mbunge uyo amekuwa akipita jiMboni kwake na kuwaambia wanachama wake wasimchague kwa kuwa ana UKIMWI na hana maisha marefu apa Duniani


Ametoa kauli hiyo na kusema"Napenda kusema kuwa mimi nimbung halali wa Vunjo na Mbatia hata pata jimbo hilo na nitagombea tena hafi mtu hapa"

No comments: