Thursday, February 5, 2015

PICHA YA SIKU--RAIS KAZINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo aliongoza kikao cha baraza la Mawaziri(Picha na Freddy Maro)

No comments: