Tuesday, February 10, 2015

VIONGOZI WA ACT WATEMBELEA OFISI ZA GAZETI LA TANZANIA DAIMA DAR


Viongozi wa chama kipya cha siasa nchini ACT-TANZANIA wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho SAMSONI MWIGAMBA leo wamefanya ziara katika ofisi za kampuni ya habari Tanzania FREE MEDIA  wazalishaji wa gazeti la tanzania daima ziara iliyokuwa na lengo la kuendeleza undugu na baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania.
Kumekuwa na desturi sasa ya vyama vya siasa kufanya ziara katika vyombo vya habari ambapo imeshghudiwa pia katibu mkuu wa chama cha mapnduzi CCM NAPE NNAUYE akifanya ziara kama hiyo katika media mbalimbali za tanzania
Picha za ziara hiyo ziko hapa



No comments: