.

KESHO ZITTO KABWE ANATARAJIWA KUANDIKA HISTORIA HII HAPA.SOMA


Ikiwa ni siku moja tu imepita tangu aliyekuwa mbunge wa jimbo la kigomakaskazini ZITTO KABWE (CHADEMA) kungatuka rasmi na kuuacha ubunge,kiongozi huyo anatarajiwa kutambulishwa rasmi na kupewa kadi ya chama cha ACT TANZANIA kesho jumapili tarehe 22 mwezi wa tatu mwaka 2015 jambo ambalo linatarajia kuandika historia mpya 


Kwa mujibu wa taaarifa iliyotolewa na afisa habari wa ACT TANZANIA jioni hii kwa mtandao huu inadai kuwa ZITTO KABWE atatambulishwa ndani ya chama hicho kipya kesho mbele ya wanahabari katika hoteli ya serena mnamo saa tano kamili asubuhi ambapo baada ya makabidhiano ya kadi ya kukaribishwa rasmi atapata nafasi ya kuzngumza na wanahabari juu ta chama chake hicho kipya.MTANDAO HUU UTAKUWA ENEO LA TUKIO KUKUPA KILA KITAKACHOJIRI HAPO

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.