Thursday, March 19, 2015

KWA WALE WA SMARTPHONE,HIZI ZIMEINGIA SOKONI LEO TANZANIA,SOMA UONE UBORA WAKE

meneja mkuu wa micro mobile divice kwa africa mashariki bi MARIAM ABDULAH (kushoto) pamoja na Meneja wa bidhaa wa micro divice kwa afrika mashariki bwana KINGORI GETAHE wakionyesha aina ya simu ambazo wameziingiza katika soko la tanzania kwa sasa.
 Kampuni ya MICROSOFT  ambayo imekuwa ikitoa simu zenye ubora mkubwa barani africa leo imeingiza simu mbili bora katika soko la tanzania ambapo leo wametangaza kuingiza simu mbili ambazo ni LUMIA 435 na 532 ambazo zimetajwa kuwa bira katika ulimwengu wa smartphone Tanzania.
 Akizungumza na wanahabari mapema leo wakati wa uzinduzi wa simu hizo meneja mkuu wa micro mobile divice kwa africa mashariki bi MARIAM ABDULAH amesema kuwa simu zinazotolewa na kamopuni hiyo simu bora ukilinganisha na simu zilizopo sokoni kwa hivi sasa ambapo kumekuwa na wimbi kubwa la simu za aina hiyo nchini.

Amesema kuwa wameshukuru sana kwa watanzania kuwapokea vizuri na bbidhaa hizo ambapo ameahidi kuendelea kutoa huduma zenye ubora unaolingana na gharama halisi za simu hizo
Meneja wa bidhaa wa micro divice kwa afrika mashariki bwana KINGORI GETAHE akizngumza na wanahabari wakati wa uzinduzi huo.
Naye Meneja wa bidhaa wa micro divice kwa afrika mashariki bwana KINGORI GETAHE akielezea ubora wa simu hizo mbili amesema kuwa simu bhizo zimekuwa bora na zenye uwezo mkubwa sana katika maswala ya mtandao ambapo amesema kuwa ni tofauti na simu nyi ngingine zilizozoeleka ambapo simu hizo zina uwezo wa kufanya shughuli nyingi ikiwemo kufanya kazi kama za TYPING na kazi nyingine ambazo zimekuwa zikifanyika katika computer.
Baadhi ya wadau ambao wamejitokeza katika uzinduzi huo
KWA SIFA NA UBORA WA SIMU HIZO NA BEI HALISI ILI UJIPATIE YA KWAKO BOFYA CHINI HAPO

Most affordable Microsoft Lumia arrive in Tanzania

Two new Microsoft Lumia smartphones, the Microsoft Lumia 435 and Microsoft Lumia 532, are now available inTanzaniafor Tshs200,000 and Tshs 240,000 respectively.The Lumia 435 is the most affordable Lumia yet, with core smartphone features, the best Windows Phone experiences and access to the latest apps.The Lumia 435 opens up the Windows Phone experience to even more people,whileLumia 532 is a powerful quad core smartphone that builds on the success of the Lumia 530. 

With a premium layered design, glance screen, front facing camera and more memory, the Lumia 532 enables people to achieve their goals with the best of Microsoft’s experiences:
·       Switch effortlessly between voice and video calls with built-in Skype integration and a front-facing camera.
·       
Read, review, edit and share on the go with the full suite of Microsoft Office on Windows Phone preinstalled.
·      
        Keep your photos, videos and Office documents safely backed up with 30 GB of free* OneDrive cloud storage.

     Easily manage work and personal emailon the fly, with Microsoft Outlook.
·      
     Capture photos quickly and easily with Lumia Camera and take, edit and share great selfies with the front-facing camera and Lumia Selfie app.
     Have your home screen your way with Windows Phone 8.1 and the Lumia Denim update, complete with one-swipe Action Centre, Word Flow and Live Folders.
    
 Stay up-to-date with the best new features through regular Windows updates.

“The Microsoft Lumia 435 and Lumia 532 show our commitment to bring Windows smartphonesto as many people as possible. Both devices are fantastic for those moving to a smartphone for the very first time”, notesMariam Abdullahi General Manager, Microsoft Mobile Devices East Africa.

Tech specification summary:
Lumia 435 Dual SIM

Operating system
Windows Phone 8.1 with Lumia Denim
HERE location services
Free global HERE Maps and HERE Drive+
Free HERE Transit available in the Store
Display
4” WVGA LCD 800x480 pixels screen
Battery
1560 mAhbattery
Processor
1.2 GHz dual-core Qualcomm Snapdragon 200 processor
Main camera
2 MP FF, Lumia Camera
Front facing camera
VGA
Memory
8GB + 30GB free OneDrive, micro SD up to 128GB
Dimensions
118.1 x 64.7 x 11.7mm
134.1g

Lumia 532 Dual SIM

Operating system
Windows Phone 8.1 with Lumia Denim
HERE location services
Free global HERE Maps and HERE Drive+
Free HERE Transit available in the Store
Display
4” WVGA LCD 800x480 screen
Battery
1560 mAhbattery
Processor
1.2 GHz quad-core Qualcomm Snapdragon 200 processor
Main camera
5 MP FF, Lumia Camera
Front facing camera
VGA
Memory
8GB + 30GB free OneDrive, micro SD up to 128GB
Dimensions
118.9 x 65.5 x 11.6mm
136.3g

- Ends –
About Microsoft Devices
The Microsoft Devices Group includes award-winning hardware used by over a billion people around the world, including Lumia smartphones and tablets, Nokia mobile phones, Xbox hardware, Surface, Perceptive Pixel products, and accessories.


No comments: