.

PICHA--TIZAMA KINACHOENDELEA DAR MUDA HUU,MVUA MWANZO MWISHO

 Mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar, tayari imeanza kusababisha kero kwa wakazi wa jiji hilo kufuatia mitaro ya maji machafu kufurika na kuwafanya watu washindwe kutumia vizuri barabara.
Miongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa na mvua hiyo ni pamoja na Sinza, Afrika-Sana na Bamaga-Mwenge ambapo mwanahabari wetu alishuhudia wananchi wakipata usumbufu wa kuvuka barabara zilizojaa maji hali ambayo imesababisha washindwe kufika katika shughuli zao kwa wakati.

ENDELEA KUTAZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.