RAIS KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

2Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
3Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega katika ukumbi wa Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
4Baadhi ya wabunge wa EALA wakimsikiliza Rais Dr. Jakaya Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia bunge hilo mjini Bujumbura Burindi.6Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.