Sunday, March 1, 2015

TIZAMA WALICHOFANYA LOWASA NA DK SLAA MSIBANI KWA CAPTAIN KOMBA LEO

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.
MH. LOWASSA AHANI MSIBA WA KAPTENI JOHN KOMBA

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. William Ngeleja (MB), kushoto ni Waziri wa Ulinzi Mh. Hussein Mwinyi, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.
Dr. W.P. Slaa akihani msiba wa Mbunge wa CCM Mh John Damian Komba.... Siasa sio uadui, hakuna adui wakudumu katika siasa wala hakuna rafiki wa kudumu katik  siasa

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. Peter Serukamba na Mh. Hussein Bashe, nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba , Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. William Ngeleja (MB), kushoto ni Waziri wa Ulinzi Mh. Hussein Mwinyi, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.

No comments: