Saturday, April 18, 2015

JULIO--NATAKA USHINDI


 Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu
"Julio"akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya
kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya
kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa
Jumatano wiki ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro,Picha kwa
Hisani ya Coastal Union.

No comments: